Taarifa hiyo iliotiwa saini na kaimu Mkurugenzi wa habari na uhusiano jeshi la ulinzi wa wananchi wa Tanzania kanali Gaudentius Gervas Ilonda imesemna kwamba taratibu za kusafirisha miili ya ...
Tanzania imesema askari wake wawili wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ) wameuawa katika shambulio la Waasi wa M23 huko Goma, nchini DRC ...
Je ni salama kwa wananchi kuishi karibu na kambi za jeshi?? Nchini Tanzania katika jiji la Dar es Salaam, kwa mara nyingine kulitokea milipuko ya mabomu katika ghala la kuhifadhi silaha la jeshi ...
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima amekabidhi mguu bandia uliogharimu Sh. milioni 2.5 kwa Jackson Mwakalinga (75), mkazi ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemkamata mtu mmoja anayejifanya askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), akiwa na sare za jeshi hilo.
Wanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wametumwa chini ya mwavuli wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), kambi ya kikanda inayofanya kazi mashariki mwa ...
Wananchi 1,113 wamepoteza maisha kutokana na ajali zilizosababishwa na pikipiki maarufu bodaboda katika kipindi cha 2022 hadi 2024, Bunge la Tanzania limeelezwa.
JESHI la Polisi Mkoa wa Mtwara linawashikilia watuhumiwa 23 mkoani humo kutokana na tuhuma mbalimbali ikiwemo kujihusisha ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results