Kiranja Mkuu wa chama cha Conservative Mark Spencer alisema Bi Ghani alikuwa akimrejelea na kuongeza kuwa madai yake ni ya uwongo mtupu. Ofisi ya waziri mkuu ilisema Waziri Mkuu hapo awali ...
Rais wa zamani wa Afghanistan Ashraf Ghani alikimbia nchi yake Jumapili - lakini haijulikani alienda wapi au yuko wapi sasa. Baada ya Taliban kuchukua mji wa Kabul, kulikuwa na uvumi kwamba ...