MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima amekabidhi mguu bandia uliogharimu Sh. milioni 2.5 kwa Jackson Mwakalinga (75), mkazi ...
Wanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wametumwa chini ya mwavuli wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), kambi ya kikanda inayofanya kazi mashariki mwa ...
Kwa mujibu wa taarifa iliotumwa kwa vyombo vya habari na Jeshi la Ulinzi la Tanzania , wanajeshi hao walifariki kutokana na mfululizo wa mashambulizi yaliofanywa na wapiganaji wa M23 katika maeneo ya ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemkamata mtu mmoja anayejifanya askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), akiwa na sare za jeshi hilo.
Tanzania imesema askari wake wawili wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ) wameuawa katika shambulio la Waasi wa M23 huko Goma, nchini DRC ...
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Uganda (UPDF) limesema leo kwamba wanajeshi wake walioko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo watajiweka katika hali ya kujihami, wakati mapigano yakizidi ...
POLISI Kata ya Ikoma Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, Koplo Emmanuel Kisiri, ametunukiwa cheo cha Sajenti, kutokana na ...
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limethibitisha kuuawa kwa wanajeshi wake wawili nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kufuatia mashambulizi ya waasi wa M23 katika maeneo ya Sake ...
Wito huo umetolewa leo Ijumaa Februari 14, 2025, jijini Dodoma na Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Francis Kaunda, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Shukrani kwa Mlipa Kodi, yaliyoandaliwa na Mamlaka ya ...
Wengi wa wapiganaji wa kigeni kutoka Romania na Bulgaria waliokuwa wakipigana upande wa jeshi la Kongo walifanikiwa ... Mateso ya wananchi ni jambo moja, lakini heshima yao ni jambo lingine.