Idadi hiyo inaonyesha jamii imepata mwamko wa kufahamu haki zao ... yatapungua katika jamii. Mungu Ibariki Tanzania na Watu Wake, amani na utulivu viendelee kuimarika siku hadi siku.