Maeneo mengine ya fukwe katika Manispaa ya Kinondoni yanayokabiliwa na adha hiyo ni Coco Beach, Magha na Kawe. Yote yanakumbwa na uchafuzi huo, hata kuibua maswali kuhusu uwajibikaji wa mamlaka husika ...