Wanafunzi 21 wanaosoma kidato cha tano na sita Shule ya Sekondari ya Mvumi Mission iliyopo wilayani Chamwino Mkoa wa Dodoma ...
Hali hii pia imetajwa kuchelewesha ujumuishaji wa kifedha na matumizi ya malipo ya kidigitali, huku Serikali ikiendelea ...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amesema uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 utafanyika kama ...
Ridhiwani amesema mikakati ya kuimarisha, kuratibu na ufugamanishaji mipango, programu na juhudi nyingine zinazolenga ...
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema mpango wa kukagua magari kwa macho sasa basi, badala yake magari yote ...
Kwenye hafla hiyo viongozi wa jamii ya Ismaili wameahidi utii wa kiroho kwa Imam wa 50 wa kisheria kwa niaba ya jamii ya ...
Fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (Chan) 2024 na fainali za mataifa ya Afrika (Afcon) 2027 zitafanyika ...
Safari yake ya mwisho imehitimishwa leo Jumanne, Februari 11, 2025, kijijini kwao mji wa Magugu, Kijiji cha Matufa, Wilaya ya ...
Itakumbukwa jana Februari 11, 2025, Katibu wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro, Mercy Mollel alitangaza kuvuliwa uanachama wa CCM kwa kada huyo.
Uamuzi wa Wakili ulitangazwa na mwenyekiti wa CCM Taifa, Mwalimu Nyerere wakati akitoa taarifa kwenye Mkutano Mkuu wa CCM ...
Mwanamuziki Nandy amesema kabla ya kujiunga na 'Tanzania House of Talents' (THT) alitaka kujiunga na rekodi lebo ya WCB ...
Kwa kutoruhusu bao leo kipa wa Simba amefikisha mchezo wa 14 kwenye ligi bila nyavu zake kutikiswa (Clean Sheets).