Taarifa hiyo iliotiwa saini na kaimu Mkurugenzi wa habari na uhusiano jeshi la ulinzi wa wananchi wa Tanzania kanali Gaudentius Gervas Ilonda imesemna kwamba taratibu za kusafirisha miili ya ...
Je ni salama kwa wananchi kuishi karibu na kambi za jeshi?? Nchini Tanzania katika jiji la Dar es Salaam, kwa mara nyingine kulitokea milipuko ya mabomu katika ghala la kuhifadhi silaha la jeshi ...
Wanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wametumwa chini ya mwavuli wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), kambi ya kikanda inayofanya kazi mashariki mwa ...
Operesheni maalumu ya kudhibiti fisi wakali na waharibifu wanaosababisha taharuki mkoani Simiyu imeonesha mafanikio makubwa ...
Askari wa Mamlaka ya wanyamapori kwa kushirikiana na askari kutoka Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania(TANAPA) na ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linawashikilia watu saba ambao ni wawakilishi wa Kampuni ya Leo Beneth London (LBL) kwa tuhuma za kuendesha biashara ya fedha mtandaoni bila kuwa na kibali cha ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Tanganyika Masele (32), mkazi wa Kisangile, Kata ya Marui, Wilaya ya Kisarawe, ...
ARUSHA: WANANCHI wanaotapeliwa kwa njia ya mitandao ya simu wametakiwa kutoa taarifa polisi na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ili wahusika wachukuliwe hatua kukomesha suala hilo. Waziri wa Maw ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limefanikiwa katika operesheni maalum dhidi ya uhalifu na wahalifu, iliyofanyika kuanzia ...
Fisi 16 wameuliwa katika operesheni maalumu mkoani Simiyu iliyoanza Januari 25, 2025 ili kuhakikisha usalama wa wananchi ...