
Matokeo uchaguzi Chadema ilikuwa kuikwamisha ACT Wazalendo …
Nov 21, 2023 · Lisu kifupi hana furaha na Uenyekiti alioupata alijua atashindwa uchaguzi na Mbowe .Ilikuwa maajabu kwake kuona katangazwa mshindi Lengo lake Lisu lilikuwa beyond huo uchaguzi baada ya kushindwa Alijipanga vizuri sana next step .Alijipanga vizuri akishindwa kuliko akishinda.Mkakati wake mkubwa na kujipanga ilikuwa akishindwa.Hapo Chadema ndipo ...
Pre GE2025 - Nini kilichosababisha Tundu Lissu kukwepa mdahalo …
May 18, 2023 · Kwamba pamoja na uzee wake, Lakini kumbe makamu mwenyekiti wa CCM bara, mzee Stephen Wasira ni vibrant, powerful na influencial politician, kiasi kwamba mtu anaejiita msomi, mwenye mdomo na makelele mengi kula kona na kukacha fursa hiyo muhimu ya kujipambanua kwa umma? Ndugu mdau, Tundu Lisu...
Pre GE2025 - Kwa anayoyaongea Lissu kuhusu uchaguzi
Feb 15, 2025 · Siamini kama Lisu akianza mikutano yakuhamasisha watu wasishiriku uchaguzi wa Mwaka huu kama hakuna Mabadiliko. Serikali itamkubalia afanye mikutano. Ila kusema ukweli chaguzi humu nchini mwetu ni kiini macho hata watu wote wasiende kupiga kura utashangaa, idadi ya watu waliopiga kura wamezidi hata malengo waliojiwekea.
Ninaamini Kabisa Mbowe angetaka kuendelea na Uenyekiti …
May 27, 2014 · Mbowe tangu 2019 alitangaza kuwa hatagombea tena uenyekiti, kilichomfanya agombee ni makubaliano binafsi na Samia akiamini kuwa makubaliano hayo yangekuwa na manufaa kwa Chadema, lakini kadiri siku zilivyokuwa zinasonga mbele kuelekea uchaguzi wenyewe aligundua kuwa wanachama wengi walihitaji mabadiliko na kama angeendelea na dhamira yake hiyo kwa nguvu aliyokuwa anasaidiwa na dola ushindi ...
Siasa ya Trump inavyoathiri harakati za Lissu na CHADEMA
Oct 30, 2024 · Maana uchaguzi wenyewe lisu hautambui, wala wale wabunge akina Mdee lisu hawatambui, wala maridhiano lisu hayatambui, ila ruzuku inayotokana hayo anazitambua na kuzitumia. Click to expand... Ruzuku ipo kisheria kwa vyama vyote sio zawadi,inaonesha wazi kabisa kwamba uelewa wako wa mambo ni mdogo …
Unamshauri Tundu Lissu ajiunge na chama gani ikiwa
Jan 14, 2025 · Kwasababu ni wazi, mpaka sasa matumaini hakuna tena, Tundu Lisu amekata tamaa kabisa. Nguvu ya kisiasa, uwezo wa kiuchmi na ushawishi wa hoja wa chairman mbowe kwa wajumbe hauzuiliki kabisaa wala hayupo wa kudhoofisha. Na kumbuka, Tundu Lisu mpaka kuamua kugombea uenyekiti na kuacha umakamu...
Hotuba ya Tundu Lisu Leo imenifumbua macho kwanini Magufuli …
May 27, 2014 · Leo Tundu Lisu alikuwa anapangikia maneno kama wale Wanasiasa nguli Wabobezi wa Sheria Nchini Kenya Kalonzo Musyoka na Prof Kindiki Mlale Unono Chadema 😄 Reactions: Sozo_ , Sieger , TAJIRI MKUU WA MATAJIRI and 9 others
Pre GE2025 - Dkt. Slaa: Tundu Lissu anafaa kuwa Rais wa
Jul 4, 2007 · Ameyasema hayo kupitia ClubHouse kujadili hotuba ya Tundu Antipas Lisu kulinganisha na hotuba ya Rais Samia hapo jana. Dkt Slaa, amesema Lisu amezungumza mambo muhimu na msingi kuliko Rais Samia. Anasema Dkt. Slaa kwamba, Rais Samia hajazungumzia rasilimali za nchi kwa mlinganyo wa wanufaika...
Wenje: Niko Chadema ninampa ushirikiano mkubwa mwenyekiti …
Feb 9, 2025 · Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria ndugu Ezekiel Wenje amesema Uchaguzi umeisha sasa anampa ushirikiano mkubwa mwenyekiti Lisu na Makamu Heche Kwa 100% Wenje amesema Kuna SIASA za Joto la Uchaguzi na uchaguzi ukiisha mnarejea kuwa Wamoja Wenje amesema October ndio mwisho wa CCM itake isitake
MDAHALO CHADEMA: Matokeo Team Mbowe vs Team Lissu
Jan 5, 2025 · 2. Wawakilishi wa Team Lisu ambao ni Gervas Lyenda na Gwamaka ambao wamesisitiza mara kadhaa katika majibu yao kuwa wanahitaji kiongozi atakae jenga Taasisi imara ya Chamakitakachoweza kujisimamia Kisiasa, Kiuchumi na Kijamii pamsipo kutegemea uwepo wa mtu mmjoa kwenye chama aweze kuendesha …