
TUNDU LISU MWENYEKITI MPYA CHADEMA,NI TUMAINI JIPYA LA …
Jan 22, 2025 · Katika ukurasa wake wa Mtandao kijamii wa X, Mbowe ameandika ujumbe wa kukubali kushindwa akiweka na picha aliyopiga na Lissu na kuandika: "Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya Uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe.
Tundu Lissu ashinda uenyekiti wa CHADEMA taifa , Heche Makamu
Jan 21, 2025 · Freeman Mbowe ametangaza kukubali matokeo ya uchaguzi wa wajumbe wa CHADEMA uliokamilika alfajiri ya Jumatano 22 Januari 2025. Lissu alipata zaidi ya 51% ya kura zilizopigwa kumpa ushindi wa Uenyekiti wa chama Kitaifa / Picha: Tundu Lissu. Tundu Antipas Lissu ndiye Mwenyekiti rasmi wa CHADEMA taifa.
Pre GE2025 - PICHA: Tundu Lissu aongezeka jopo la
Jan 30, 2025 · Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akiwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuungana na jopo na mawakil linalomtetea Dk. Wilbroad Slaa anayeshtakiwa kwa makosa ya kuchapisha taarifa za uongo katika mitandao ya kijamii.
Tundu Lissu na harakati za "mwanzo mpya" Tanzania
Jan 25, 2023 · Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu amekamatwa mara kadhaa, kunusurika jaribio la mauaji na kuishi uhamishoni kwa zaidi ya miaka mitano. Lakini sasa amerudi nyumbani "kuandika...
Nesi asimulia walivyompokea Lissu baada ya kupigwa risasi
4 days ago · Muuguzi huyo alimweleza Lisu kuwa alipoteza fahamu pale alipokuwa akimtundikia dripu na kutamka sentensi yake ya mwisho. Muuguzi huyo alisema kwa sasa ana miaka miwili hayupo kazini, aliondoka Aprili, 2020.
Tundu Lissu kupinga uamuzi wa kuufuta ubunge wake - BBC
Aug 1, 2019 · amesema Lisu. Maelezo ya picha, Kiongozi wa Chadema Freeman Mbowe alithibitisha kuwa Tundu Lissu alisema atarudi nchini Tanzania tarehe 07.09.2019 kuadhimisha siku ya kushambuliwa kwake
Tanzania: Tundu Lissu akoroga Chadema uchaguzi mkuu ukibisha …
Dec 17, 2024 · NAIBU mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania – Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) – Bw Tundu Lissu, amethibitisha nia yake ya kupambana na mwenyekiti wa sasa Freeman...
Tundu Lissu ataja sababu kutojiandikisha kupiga kura
2 days ago · Picha:Mtandao Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu. MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameweka wazi sababu iliyochangia kushindwa kujiandikisha katika Daftari la Wakaazi ili kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Tundu Lissu Mwenyekiti mpya CHADEMA – DW – 22.01.2025
Jan 22, 2025 · Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania kimechagua Tundu Lissu kuwa kiongozi mpya kabla ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba, wakati ambapo kinakabiliwa na ongezeko la ukandamizaji...
Lissu, Mnyika wasimulia walivyochezea kipigo | Mwananchi
Aug 14, 2024 · Viongozi wakuu wa Chadema, Tundu Lissu na John Mnyika, wamesimulia namna walivyokumbana na vipigo na kusafirishwa hadi maeneo tofauti kutoka jijini Mbeya kabla ya kufikishwa Dar es Salaam na kuachiwa huru na polisi.