
Pre GE2025 - Tundu Lissu: Nimewasilisha kusudio la ... - JamiiForums
Dec 12, 2024 · kauli ya mheshimiwa tundu antiphas lissu, makamu mwenyekiti wa chadema (tanganyika), kuhusu kusudio la kugombea nafasi ya mwenyekiti wa chama taifa, katika uchaguzi wa chama 2024 UTANGULIZI Ndugu zangu na wanachama wenzangu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo,
Wasifu (CV) wa Tundu Lissu - JamiiForums
Aug 28, 2015 · Hii ndio CV (curriculum vitae) ya kamanda Tundu Lissu Full Name: Tundu Antiphas Mughwai Lissu Member Type: Elected Member Constituent: Singida Mashariki Political Party: Chama cha Demokrasia na Maendeleo Office Location: Box 21746, Dar Es Salaam Office Phone: +255 22 2780859/+255 754 447323/+255 786 572 571
Unamshauri Tundu Lissu ajiunge na chama gani ikiwa
Jan 14, 2025 · Kwasababu ni wazi, mpaka sasa matumaini hakuna tena, Tundu Lisu amekata tamaa kabisa. Nguvu ya kisiasa, uwezo wa kiuchmi na ushawishi wa hoja wa chairman mbowe kwa wajumbe hauzuiliki kabisaa wala hayupo wa kudhoofisha. Na kumbuka, Tundu Lisu mpaka kuamua kugombea uenyekiti na kuacha umakamu...
Pre GE2025 - Tamaa ya Tundu Antipas Lissu, Kuutaka
Dec 13, 2024 · Tundu Lisu akijibiwa azma yake hiyo na chairman Freeman Mbowe, atakua amefanikiwa kumuingiza mbowe mtegoni, na ndipo sasa mambo na madudu mengine mazito zaidi na muhimu sana dhidi ya chairman Mbowe yataibuliwa na kuwekwa hadharini. Na hilo ndilo lengo hasa la Tundu Lisu.
Jamani mpeni Tundu Lissu PHD ya heshima jinsi ... - JamiiForums
Mar 7, 2025 · Watu kama Tundu Lisu, wangekuwa nchi ambazo hazina uchawa angepewa phd ya heshima, huyu ni tunu ya Taifa, kichwani yupo vzr, lugha yupo vzr sana, speaking skills yupo vzr sana huyu ni hazina ya taifa letu pendwa la Tanzania.
Tundu Lissu hawezi kumshinda Freeman Mbowe kwa chochote na …
Jan 13, 2025 · Tundu Antipas Mughwai Lisu, hawezi kumshinda Freeman Aikali Mbowe kwa namna yoyote ile, hususan chadema inapoelekea kwenye uchaguzi wa ngazi ya taifa Jan.21.2025. Hawezi kumshinda kwa kura za wajumbe, kwasababu hana wajumbe wengi wanaomuunga mkono ukilinganisha na wale wengi zaidi wanaomuunga mkkono Mbowe.
Pre GE2025 - Nini kilichosababisha Tundu Lissu kukwepa
May 18, 2023 · Kwamba pamoja na uzee wake, Lakini kumbe makamu mwenyekiti wa CCM bara, mzee Stephen Wasira ni vibrant, powerful na influencial politician, kiasi kwamba mtu anaejiita msomi, mwenye mdomo na makelele mengi kula kona na kukacha fursa hiyo muhimu ya kujipambanua kwa umma? Ndugu mdau, Tundu Lisu...
Hotuba ya Tundu Lisu Leo imenifumbua macho kwanini Magufuli …
May 27, 2014 · Leo Tundu Lisu alikuwa anapangikia maneno kama wale Wanasiasa nguli Wabobezi wa Sheria Nchini Kenya Kalonzo Musyoka na Prof Kindiki Mlale Unono Chadema 😄 Reactions: Sozo_ , Sieger , TAJIRI MKUU WA MATAJIRI and 9 others
Pre GE2025 - Lissu: Sina mpango wa kuhama CHADEMA, Msigwa …
Dec 17, 2024 · Kwanza niweke wazi maana kuna vimaneno maneno kwamba huyu (Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara na mtia nia wa nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho Taifa) anatengeneza namna ya kuhama, sasa nataka niseme haami mtu hapa, haami mtu hapa, ukisema Msigwa (Mchungaji Peter Msigwa, aliyekuwa kada wa CHADEMA aliyetimkia CCM) alisema hivyo hivyo nataka niwaambie Msgwa sio Tundu Lissu ...
Pre GE2025 - Dkt. Slaa: Tundu Lissu anafaa kuwa Rais wa Jamuhuri …
Jul 4, 2007 · Ameyasema hayo kupitia ClubHouse kujadili hotuba ya Tundu Antipas Lisu kulinganisha na hotuba ya Rais Samia hapo jana. Dkt Slaa, amesema Lisu amezungumza mambo muhimu na msingi kuliko Rais Samia. Anasema Dkt. Slaa kwamba, Rais Samia hajazungumzia rasilimali za nchi kwa mlinganyo wa wanufaika...